Kwanini kawawa hajaenziwa kama sokoine?

Kwanini kawawa hajaenziwa kama sokoine?

Nauliza tu kwanini?
Wakati ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa hili kwa kila hali

Nashauri watoto wake na wao waandae kumbukumbu yake itasaidia utawala kumkumbuka
Mfumo Kristo alisikika mzee mmoja akibwabwaja.
 
Nauliza tu kwanini?

Wakati ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa hili kwa kila hali

Nashauri watoto wake na wao waandae kumbukumbu yake itasaidia utawala kumkumbuka
Akitimiza miaka 40 nae ataenziwa!
 
Anakotoka Kawawa wanaamini ccm ni dini , hawawezi kuiacha , unataka na huko nako aenziwe ili iweje ?
.Sokoine kaenziwa ili kuwasahaulisha Wamasai kuuzwa kwa ngorongoro
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wewe mwenyewe humheshimu kivile. Ungekuwa unamheshimu ungeandika jina lake kwa kuanza na herufi kubwa, Kawawa badala ya ya kawawa. Kwa kufanya hivyo umemfananisha na makapuku kama kina tundu lisu
 
Hii inafikirisha, hata Dr Ali Juma alifia kazini lakini haenziwi kihivyo.

Itakuwa wanazitafuta kura za wamasai na watu wa ukanda ule, hususani baada ya madhambi wanayowafanyia kule Ngorongoro.
 
Sokoine alikuwa jasiri mwenye msimamo na alisimamia maslahi ya nchi yake.. Msimamo wa Kawawa mpaka leo sijui zaidi ya kutekeleza aliyoagizwa.. Hakuna cha kuenzi kwa Kawawa..
 
Nauliza tu kwanini?

Wakati ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa hili kwa kila hali

Nashauri watoto wake na wao waandae kumbukumbu yake itasaidia utawala kumkumbuka
Kama kumbukumbu yake inaweza kufanikisha uchaguzi 2025 , itakuwa tukio .
 
Alifariki akiwa Waziri Mkuu?

Kumbuka kwa Sokoine ni miaka 40 tokea afariki
 
Serikali ianzishe maktaba maalum ya kumbukumbu za viongozi Dodoma.

By viongozi namaanisha pamoja na mtanzania yeyote aliyefanya distinguished work!

Tatizo CCM wataigeuza yao na itakufa kibudu; aaaghr! Bora isiwepo tu mpaka baadaye huko watakapotokea wenye kutumia brains sawa sawa.
 
Kumbuka Sokoine alifia kazini akiwa ni waziri mkuu wa nchi na ndio alikuwa akitoka Dodoma kwenye vikao vya Bunge.
Suala sio kufia kazini suala ni Cheo alichonacho mbona Nyerere hakuifia kazini lakini anaenziwa?
Mbona Lowassa hakufia kazini lakini alienziwa?
 
Back
Top Bottom