Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku reactYondani amechoka akaungane na Kaseja kagera au ngasa mbeya city
Hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! MTAJIBEBAMamluki wa mikia Dida na Barthez watoswe mapema
Wewe chini ,acha unazidante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
Hiyo wanaita anakotagia kuku dida utamlaum tu tim nzima ilipwaya simba walipiga mwingi utazan yanga ndo walikua pungufudante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
Safi sanaWewe chini ,acha unazi
Yamekua hayoMamluki wa mikia Dida na Barthez watoswe mapema