Kwanini Kelvin Yondani?

Tatzo sio yondan... Tatzo n kiungo mkabaj...team ilikufa sana pale kat...n sawa na simba... First 11 kocha alizingua kabsa lakn aliwah ku react
Kutoka kwa Kamusoko kuliua kiungo Yanga.
Pia commitment kubwa ya wachezaji wa Simba kulichochea mapambano na hivyo kuidhoofisha Yanga a.k.a Ngada FC
 
dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
Kwa goli lile,Dida hakuwa na la kufanya kwa kuwa matarajio yake na akili ya mfungaji ilikuwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…