chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Nikipita mtandaoni na habari kubwa za siasa za Kenya ni kuhusu kujipanga kwa ajili ya kampeni za 2022kwenye urais, na NASA kusalitiana
William Ruto amabaye ndie imekubaliwa rasmi na chama tawala cha Jubilee kuwa ndie atamrithi Kenyatta katika uchaguzi ujao amekuwa akizungumza watu waache siasa wapige kazi hadi 2022, lakini kuna watu wake (nadhani anawatuma) wamekuwa wakitoka hadharani na kutoa matamko kuwa yeye ndie chaguo sahihi kufikia mwaka 2022 na anastahili
Japo Ruto yeye haongei chcochote kuhusu uchaguzi huo inaonekana amekuwa akipanga kambi chini kwa chini na anahofia kuwa kuna mtu anyetishia nafasi yake hiyo
Mtu huyo ni nani? Kuna mtoto wa Moi nilimsikia akitajwa kuwa ndie tishio kumrithi Uhuru 2022, lakini yeye ana lay low kama hana mpango na nafasi hiyo.
Huku NASA imevurugika na akina Musalia Mudavadi na Moses Wetangula wameikacha na upinzani hauna umoja wa kupambana na Jubilee
Odinga anaonekana kushuka sana kiushawishi baada ya kulainika ghafla na kushikana mkono na Uhuru huku hakuna lolote la maana alilopata ikilinganishwa na cost kubwa waliyoingia wafuasi wake.
mwanasheria aliyeshiriki kumuapisha Miguna Miguna alifukuzwa tena mbele yake alipoenda kumpokea uwanja wa ndege na hakuna lolote aliloweza kufanya
So, huku upinzani ukiwa umevurugika na hakuna mtu tishio sana Jubilee inaonekana urais ni wa Ruto kwa asilimia kubwa
Swali ni kwa nini jamaa ameanza kampeni mapema hivi wakati hana hata mshindani mkubwa?
Anaonekana kuchukua tahadhari na kupanga majeshi mapema kama kuna mtu ataibuka na kumnyang'anya nafasi hiyo
Au labda sifahamu vizuri, wadau waKenya mngenieleza jamaa anahofia nini hadi kuanza kampeni mapema hivi kiasi cha kuwachosha raia na kuathiri hata mipango mingine ya maendeleo
pingli-nywee COLLOH-MZII RELOADED Mkikuyu- Akili timamu Tony254 nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11