Kwanini Kenya inaongoza kwa watu kunasiana wakati wa kufanya Mapenzi?

Kwanini Kenya inaongoza kwa watu kunasiana wakati wa kufanya Mapenzi?

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari wadau,

Jana katika pita pita zangu nikakutana na habari kutoka K24 TV kuwa kuna bwana na bibi wamenasiana walipokuwa wanafanya mapenzi siku shangaa kwa ilo tukio ila nashangaa mbona matukio Mengi ya ivi yapo Kenya?

Alafu walikua hawajavaa hata mask za kujilinda na ukimwi wala corona alafu ni mtu na mke wa mtu.

Au hii ndio Sababu ya wao kuogopa Corona sana mana inaonekana kinga zao zina CD4 chache?
 
Mkuuuuuuu wanakipaji waache kabisa

Nimekaa mara miaka miwili niliyoona yanatosha sanaa

Kile kuna jamaa alitoka Dar wako ndugu, wakaanza kuchafua mabinti. Aikutosha wakanza wake za watu ndugu asikwambie mtu

Ni siri ya kile kijiji na tuliokuwepo na ndugu za wahuska, balaa

Kaka mmoja alimfumania mkewe na jamaa akaita majirani jama akaomba radhi yakaisha akatoa na hela jama akakataa, akamwonya asirudie tena na tena

Ndugu mwezi ilikuwa mrefu jama alileta bibi toka Kenya akafanya yake pale ndan mke akiingiliwa tu atoi huuyo jamàa mpaka bibi aitwe toka Kenya

Wiki mbili nyingi yuko lodge mzigo umenasa. Kaka acha, sikia kwa watu haya mambo. Aliteseka aliteseka balaaa sik tatu walilipa milioni kadhaa, ndugu bibie akaja toka Kenya akawatenganisha

Haoo wasiikie tu sio kabisa, dunian unaweza kuwa na history ukifanya mchezo,

Mojà ya masharti kabla ya kukutenganisha bibi lazima mumchukue video na mumpatie akiwa anaondoka
 
Acheni story za umaskini wa Akili.Hiyo mipango ya Uongo wa waganga wa kienyeji kutafuta soko,wataendelea kuwapata nyie wajinga
 
abdulhamis,
Duh chief mask ktk kuhondombola ya nn tena ? Ata ningekuwa mm nisinge vaa kwanza isingekuwa karibu na kiwanja cha mapambano anyways tukija kwa swala la kunasa..... Mi nafikiri jamaa ni wachawi wachinichini
 
Back
Top Bottom