Kwanini Kenya na Uganda hawakuwepo Afcon?

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu.

Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi

Nawasilisha
 
Tumewazidi Viwango vya Soka Kwa Sasa...!

Hilo ndo jibu usihangaike kutafuta Jibu Lingine...!

Sisi ni bora Kuliko Wao....!

Ushauri kwa Azam,Simba na Yanga Wasiende tena Kutafuta Wachezaji huko..!

Mchezaji mzuri atokee nchi za Boli Zilizotuzidi Viwango....!
 
Ndg zangu sisi wengine sofa tunaiona tuuu.

Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi

Nawasilisha
Mozambique hawakuwepo? Una uhakika unaangalia Afcon?
 
Mkuu ukiwa umesoma uzi wa mleta hoja usingehoji swali hilo
Kuuliza 'kwa nini' inaonekana wewe ni shabiki wa rede na sio soka. Sawa na uulize kwa nini Azam hawashiriki CAF champions .Shabiki wa mpira hawezi kuuliza hilo swali la 'kwa nini' sababu inajulikana ili ushiriki mashindano lazima ufuzu kushiriki hayo mashindano. Kiufupi endelea kushabikia rede tu.
 
Tumeingia Afcon Baada Ya Kumaliza Nafasi Ya Pili Katika Kundi,kundi Lilojumuisha Mataifa Manne Ya Algeria,tanzania,uganda Na Niger.Kenya Hakushiriki Kabisa Kwani Alikuwa Kafungiwa.
 
Umepevuka mkuu. Unahekma.
 
Kuuliza 'kwa nini' inaonekana wewe ni shabiki wa rede na sio soka. Sawa na uulize kwa nini Azam hawashiriki CAF champions .Shabiki wa mpira hawezi kuuliza hilo swali la 'kwa nini' sababu inajulikana ili ushiriki mashindano lazima ufuzu kushiriki hayo mashindano. Kiufupi endelea kushabikia rede tu.
Na huyu ungemjibu nn, si ndio ungemtukana bure. Jifunze kuwa na heshima

Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu.

Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi

Nawasilisha
Timu zinazoshiriki ni 24 tu na Afrika kuna zaidi ya nchi 50
 
Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu.

Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi

Nawasilisha
Hawakufuzu
 
Back
Top Bottom