I thought ni kwa sababu huwa hazina sababu ya kwenda mahakamani! Yaani kama polisi wameshindwa kuwapatanisha/kusuluhisha mgogoro then ndo mnashauriwa muende mahakamani kama last resort ya kupata haki idaiwayo!
ni mtazamo tu..
Watu wengi ni waoga na hajui sheria,polisi nao ni wajanja hawapendi kupeleka kesi mahakamani,kwanza hawajui kuandaa charge,na pili ushahidi unakuwa hautoshi,pia wanaogopa usumbufu lakini pia hata kesi zinazokwenda mahakamani ambazo ni chache nazo znachakachuliwa palepale!system ndio mbovu tu,polisi siku hz ndio wamekuwa mahakama,kila kesi watataka mmalizane wenyewe,ukiwa unajua haki yako ndio watapeleka mahakamani.