Kama hujui bora ungekaa kimya kuliko kuharisha humu? Kesi ya Kichuya ilikaa muda gani?How long does CAS arbitration last ?
The ordinary procedure lasts between 6 and 12 months.
For the appeals procedure, an award must be pronounced within three months after the transfer of the file to the Panel.
In urgent cases and upon request, the CAS may, within a very short time, order interim measures or suspend the execution of a decision appealed against.
Mbona wewe ndio umeharisha?Kama hujui bora ungekaa kimya kuliko kuharisha humu? Kesi ya Kichuya ilikaa muda gani?
Akina Bandeko Nangai Wakongo ( zamani Wazaire ) hapa wanasema...Azoma ta Azoma te ( yaani Hali ni mbaya ) na kwamba liwalo na liwe.Wamekutana wote wanajua Sana morrson anajua sheria Utopolo wanajua kulalamika hapo Cas hawaelewi
Bush lawyers wa Utopolo wanawadanganya mashabiki waoWadau wa soka embu mtujuze tusiojua,kwanini kesi ya wakili msomi BM inakua na kigugumizi kutolewa maamuzi, kila siku imekuwa ya kupigwa kalenda shida ni nini hasa?
Maskini uto,hadi hurumaUtopolo akili fupi sana, wanasubiri hukumu eti Morrison akishindwa wanakuwa mabingwa wa Ligi kuu 2020/2021.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]