nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Kwani unapopewa instructions na mteja unakuwa sio mwajiriwa wake?Kuna conflict of interest maana huwezi endesha kesi upande wa mtu aliekuajiri kwa mawakili hautakua impartial bali itakua kesi yako personally na sio ya mteja