Kwanini Kiba anamuogopa Harmonize?

Kwanini Kiba anamuogopa Harmonize?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari zenu

Ili nijukwaa la celebrities Leo nimeamua nije na hii hoja kwenu.kati ya wasanii ninaowakubali Tanzania kimziki kiba ni mmoja wapo lakini nje ya mziki wake simkubali.Leo wakati nikisikiliza interview ya kiba times fm alinishangaza kiba Kama kawaida yake kwenye interview nyingi anazofanya aliulizwa swali na mtangazaji "unajisikiaje harmo kukufollow insta? Kiba akajibu watu wengi wananifollow na wengine siwajui.

Mtangazaji hakulizika na jibu la kiba ikabidi mtangazaji alikazie swali lake ndipo kiba akapaniki mtangazaji akaamua aipotezee.

Mtangazaji akamuuliza swali lingine kwanini wakati wa msiba wa Godzilla alikataa kusalimiana na harmo kiba akajibu " wakati harmo anaingia kulitokea vurugu so why sikusalimiana nae" Mtangazaji akacheka hata me jibu lake lilinichekesha kidogo hiyo vurugu anayoizungumzia kiba ni ipi? cos kwenye ule msiba hakukuwa vurugu yoyote.

Na Sio tu interview hii pekee kiba akiulizwaga kuhusu harmo lazima awe mbogo nakumbukaga Kuna interview moja alihojiwa na Riki media tv ya online alivyoulizwa tu kuhusu harmo alikimbia interview.

Sijajua kwanini kiba amuogopa harmo je ni kwasababu ya imani ya kishirikina aliyonayo kiba au ni tetesi iliyoko mtaani ya nafasi yake ya 2 kuchukuliwa na harmo au tatizo ni Nini?
 
Uzi ungefaa uwe kwanini domo anamuogopa harmo

Kwanini wanatumia nguvu nyingi kumzima
 
Uzi ungefaa uwe kwanini domo anamuogopa harmo

Kwanini wanatumia nguvu nyingi kumzima
Yaani wanatumia nguvu nyingi kumzima mtu ambaye wamemkuta kwenye game wakamfunika, na sasa wanatumia nguvu nyingi kumzima...
 
Inashangaza sana. Hio nguvu wangeiwekeza kujikuza zaidi na kuitawala afrika nzima
Yaani wanatumia nguvu nyingi kumzima mtu ambaye wamemkuta kwenye game wakamfunika, na sasa wanatumia nguvu nyingi kumzima...
 
2216020_3dbd5d03-0014-460a-acd0-4abe084c74ff.gif
Acha pombe chafu
Wewe ndio mshahuri wao kwenye matumizi ya nguvu hizo ?
 
Back
Top Bottom