Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya filamu Tanzania: yani, Kupungua kwa mapato na kufifia kwa majina na filamu maarufu nchini. Kwani ni matazamo wangu kwamba tasnia ya film Tanzania illianza kufifia kabla ya kifo chake, na hii ilikua kwa ajili ya sababu 3 muhimu ninazo elezea ndani ya video.