Kwanini kifo cha Kanumba hakikusababisha kufifia kwa Bongo Movies..

Hisha Sorel

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
192
Reaction score
140
Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya filamu Tanzania: yani, Kupungua kwa mapato na kufifia kwa majina na filamu maarufu nchini. Kwani ni matazamo wangu kwamba tasnia ya film Tanzania illianza kufifia kabla ya kifo chake, na hii ilikua kwa ajili ya sababu 3 muhimu ninazo elezea ndani ya video.
 
kanumba alikiuwa anaigiza kawaida sana labda useme mtu akifa anapewa sifa Ambazo hata akuwa nazo

...iyo ni sawa na mangwea watu wanasema akuna Rapa mkali kama yeye anayejuwa free style Tz nzima na atokuja kutokea by the way mtu akifa upewa sifa kibao ....
 
jaribu kwenda mbinguni tuone kama na wew watakusifia ivooo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…