Kwanini kikombe cha kahawa hakina kishikio

Kwanini kikombe cha kahawa hakina kishikio

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Vijiwe vingi vya kahawa utakuta vikombe havina vishikio ,kwanini iwe kikombe cha kahawa na sio cha chai !
Kamani%202.jpeg
 
ili ukimaliza kupiga pafu ukirudishe mezani. sio cha kushika mda mrefu, ni kama glass, vile vi-shots vya pombe kali pia.

Sent using SMART KITOCHI
 
Mungu ni Fundi sana aisee,yaani alivyoyaumba masikio utadhani alijua barakoa itakuja kushikizwa pale.
 
Wengi wanaokunywa ni wanaume au nayo ni power bank?
 
Back
Top Bottom