Elections 2010 Kwanini Kikwete aapishe wakati alikuwa rais hata wakati tunapiga kura?

NINAHASIRA

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
58
Reaction score
9
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi
 
Ndo katiba ya nchi yetuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi

Soma katiba kaka , kila kitu kipo wazi kule mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…