Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du namwonea huruma Ajib na GadielAlipokuwa Simba mnakumbuka gundu lake,akaenda nalo yanga hadi sasa matatizo tu ,simba msimu ulikuwa poa,sasa hivi karudi tu gundu la Kilomoni inaanza !
Huyu jamaa vipi?
Mbumbumbu bin Boda Boda fc,hivi ile Boda Boda ya Okwi aliipandisha kwenye ndege kwenda nayo kwao?Bado kuondoka kwao matikiti fc ni salama hivi juzi kati wachezaji wa matikiti wamegomea mazoezi kisa posho
Alipokuwa Simba mnakumbuka gundu lake,akaenda nalo yanga hadi sasa matatizo tu ,simba msimu ulikuwa poa,sasa hivi karudi tu gundu la Kilomoni inaanza !
Huyu jamaa vipi?
Alienda nayo bigwa morogoro kuiba matikiti kwenye mashamba ya watuMbumbumbu bin Boda Boda fc,hivi ile Boda Boda ya Okwi aliipandisha kwenye ndege kwenda nayo kwao?
Kwa tabia za mikia wakimaliza mikataba ndio basi tena labda waende Ndanda au LipuliDu namwonea huruma Ajib na Gadiel
Kuna mtoa mada aliwahi kuelezea wawili hawa ni marafiki sanaDu namwonea huruma Ajib na Gadiel