Kwanini kila anapohamia Ajibu gundu linaanza?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Alipokuwa Simba mnakumbuka gundu lake,akaenda nalo yanga hadi sasa matatizo tu ,simba msimu ulikuwa poa,sasa hivi karudi tu gundu la Kilomoni inaanza !

Huyu jamaa vipi?
 
Kabla ya hapo, Simba na yanga hazikuwa na gundu?
 
Basi kama vipi na aitwe Ibrahim Ajibu Migomba "Gundu" kama ilivyo kwa akina Ali Mtoni "Sonso", Abdallah Shaibu " Ninja" Salum Aboubakary "Sureboy", na wengineo wengi.
 
Bado kuondoka kwao matikiti fc ni salama hivi juzi kati wachezaji wa matikiti wamegomea mazoezi kisa posho
 
Mpelekeni Lipuli fc kwa mkopo, LA sivyo mtapata njaa kama yote.
Alipokuwa Simba mnakumbuka gundu lake,akaenda nalo yanga hadi sasa matatizo tu ,simba msimu ulikuwa poa,sasa hivi karudi tu gundu la Kilomoni inaanza !

Huyu jamaa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…