py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Nimekuwa nikifuatilia ligi kubwa 4 za ulaya EPL,La liga ,Bundesliga pamoja na France ligue 1 na hata michuano ya uefa kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kuona mashabiki wakizimia zimia hovyo na kubebwa lakini huku kwetu kila simba na yanga wakicheza lazima utaona watu wakibebwa kwenye machela kwa kinachosemwa wamezimia kwa mshtuko wa moyo..
Ni kwanini iwe simba vs yanga tu
Na kwanini ni Tanzania tu
Kama ni tension za mechi hivi kuna tension kubwa zaidi ya el classico ,man u vs liver nk
Au waTanzania wengi ni wagonjwa au kiki
Shida nini maana kila Dar derby lazima watu wabebwe