Kwanini kila mechi ya simba na yanga watu wanazimia lakini matukio hayo hatuyaoni ulaya

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Nimekuwa nikifuatilia ligi kubwa 4 za ulaya EPL,La liga ,Bundesliga pamoja na France ligue 1 na hata michuano ya uefa kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kuona mashabiki wakizimia zimia hovyo na kubebwa lakini huku kwetu kila simba na yanga wakicheza lazima utaona watu wakibebwa kwenye machela kwa kinachosemwa wamezimia kwa mshtuko wa moyo..

Ni kwanini iwe simba vs yanga tu
Na kwanini ni Tanzania tu

Kama ni tension za mechi hivi kuna tension kubwa zaidi ya el classico ,man u vs liver nk

Au waTanzania wengi ni wagonjwa au kiki

Shida nini maana kila Dar derby lazima watu wabebwe
 
Unategemea nini kila mshabiki ana hirizi yake inapumua kwa kigezo cha kuisaidia timu kama vile wao ndo wanacheza huo mpira uwanjani...kikbuma wanakata moto
 
Wengi huwa ni njaa na wanakuwa wanavizia kulamba zile glucose. Wengine mbwembwe tu.
 
kawaida tu kutokana mahali penyewe kulivyo
 
Siyo tu kuzimia mwengine kafa jana huko morogoro chanzo#<<clouds>>##

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…