Wateja wameona unaanza kutajirika kupitia wao, si unajua tena wabongo tulivyo na wivu[emoji4] [emoji4]Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukweli ndio huo.Wateja hawapendi usafi, wanahisi utapandisha gharama za vyakula, ni hilo mkuu hakuna mchawai[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple weka bei za vyakula nje kwenye ubao unakuwa visible. Mteja akifika akisoma na akicompare na bei ya wali atajiridhisha kuwa nothing has changed. Infacts this is one of the key factor that explain why supermarket are not doing well in Tanzania than an other countries at least for EAC. Kosa ni kufanya mabadiliko chapu chapuWakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umeongea point sana.Simple weka bei za vyakula nje kwenye ubao unakuwa visible. Mteja akifika akisoma na akicompare na bei ya wali atajiridhisha kuwa nothing has changed. Infacts this is one of the key factor that explain why supermarket are not doing well in Tanzania than an other countries at least for EAC. Kosa ni kufanya mabadiliko chapu chapu
Kweli kabisa na utasikia mmh wala uko ndani si thubutu kuingia, yaani mi kuna duka ni minisuper market huwa nina nunua mkate sh.2000 mkubwa, na mtaani kwa machinga 2000 hiyo hiyo ila nkiwa na watu wanasema ww unaenda kununua mkate wa 3500 na hapa nje ni 2000 tu πππ nawacheka nawaambia ni bei moja.Kaka umeongea point sana.
Watanzania walio wengi hawana confidence ya kuingia sehem zenye muonekano mzur Kama zilivyo supermarket,huwa wana dhana kwamba wakienda kununua mkate pale watauziwa kwa bei ya juu wakati kumbe bei ni sawa tu na za mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Kaka ndio saikolojia zao zilivyo,au mwingine anaona aibu kuingia supermarket halaf anunue kitu kimoja tu halaf anaona wenzake wamejaza kapu.Kweli kabisa na utasikia mmh wala uko ndani si thubutu kuingia, yaani mi kuna duka ni minisuper market huwa nina nunua mkate sh.2000 mkubwa, na mtaani kwa machinga 2000 hiyo hiyo ila nkiwa na watu wanasema ww unaenda kununua mkate wa 3500 na hapa nje ni 2000 tu [emoji23][emoji23][emoji23] nawacheka nawaambia ni bei moja.
Acha iwe bongo bahati mbaya tu maana ukileta uzungu na umarekani mwingi unapotea maana exposure ya wabongo kwenye teknolojia ni ndogo, afu wananyota ya sh. 200 ukiweka sh. 500 umeumia.Kweli Kaka ndio saikolojia zao zilivyo,au mwingine anaona aibu kuingia supermarket halaf anunue kitu kimoja tu halaf anaona wenzake wamejaza kapu.
Hajui kwamba una haki ya kuingia mle na ukanunua mswaki tu halaf ukaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app