hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
MTU anaenda kutwa nzima anakunywa Maji eti StaffNi kama mimi vile ambavyo sioni umuhimu wa kwenda hata Mlimani City eti nikazagae tu bila ishu ya maana. Ila kunao vijana ambao wao ndio sehemu yao ya kutakatisha majina kwa vibinti.
Wateja hawapendi usafi, wanahisi utapandisha gharama za vyakula, ni hilo mkuu hakuna mchawai[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 ufalaMTU anaenda kutwa nzima anakunywa Maji eti Staff
Wateja wako wanajiona hawastahili kula hapo, wanataka sehemu chafu chafu ili waendane na hali zao, wanajua labda bei itapanda.Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna marekebisho umefanya lakini sio rafiki kwa wateja na siku zote tabia za wateja hubadilika kila uchao, labda umeboresha mazingira ukasahau kuboresha chakula kutokana na kwamba radha au matarajio ya mteja ni kukidhi haja(satisfaction).Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa marketing tunaita CONSUMER BEHAVIOUR sio psychology.Kujua saikolojia ya wateja ni muhimu sana na pia ni ngumu sana kuijua, marketers hatusomi hiki kitu wakati ni kinabeba karibia 90% ya kazi zetu. Kubadilisha mazingira ndio sababu kuu ya wao kukimbia mgahawa, jitahidi kwenye biashara uwe na uhusiano wa karibu sana na wateja wako. Hakikisha unatengeneza mtandao wa wateja watakao kuwezesha japo kupata chochote in case wateja wa rejareja wasipo kuja kununua bidhaa kama ilivyo hivi sasa. Jikite kwenye kutafuta wateja wapya kwenye hiyo picha mpya ya duka usisubiri wakutafute mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomea marketing wapi ambako hukusoma CONSUMER BEHAVIOUR.Kujua saikolojia ya wateja ni muhimu sana na pia ni ngumu sana kuijua, marketers hatusomi hiki kitu wakati ni kinabeba karibia 90% ya kazi zetu. Kubadilisha mazingira ndio sababu kuu ya wao kukimbia mgahawa, jitahidi kwenye biashara uwe na uhusiano wa karibu sana na wateja wako. Hakikisha unatengeneza mtandao wa wateja watakao kuwezesha japo kupata chochote in case wateja wa rejareja wasipo kuja kununua bidhaa kama ilivyo hivi sasa. Jikite kwenye kutafuta wateja wapya kwenye hiyo picha mpya ya duka usisubiri wakutafute mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebaini hila zako.Lengo ni kupandisha bei za vyakula.Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kilichokutokea na mimi kimewahi kunitokea! Nilikua na ka bar kwenye kona fulani ina ka giza giza na imekaa shaghalabagala. Basi waendesha bodaboda, bajaji na vijana vijana wengi wa mtaani walikua wanapenda sana kuja mida ya jioni kupiga ulabu na nyama choma pale.
Nikaona nipaboreshe nikaita mafundi wakapatengeneza vizuri, safisha kila mahali piga rangi, funga taa nzuri mpaka barabarani, weka ma flat screen, music safi, n.k pakawa bomba mbayaa na bei sikupandisha.
Tangu nipaboreshe sikuwahi kuona tena mteja yoyote kukanyaga pale! Sio bodaboda, wala wateja wa kawaida wote wakakata miguu hadi mwisho ikabidi nipafunge tu.