Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwani wapi CHADEMA imerudisha maendelwo nyuma? Kama Kila mtu atakuwa na nyumba na ofisi yake mwenyewe Ni kwamba real estate industry itakufa, Ni hasara kwa uchumi wa taifa kwani Land Lords ni registered tax payer.Mapinduzi katika maendeleo.
CHADEMA inajiita Chama cha demokrasia na maendeleo lakini mwenyekiti ni wa kudumu na ofisi za chama zinapangishwa ufip
Zipi? Nadhani CCM ndio wako kwenye colonial era, unyonyaji wa wanyonge hadi watokwe damuMapinduzi ya kifikra.
Kwa mfano Chadema bado wana fikra za kikoloni!
Inaumiza Sana kuwa na chama ongozi kinachoshindwa ku convert rasilimali zetu kuwa utajiri. Leo tunanunua yebiyebo kutoka Malawi na hata chipboard pia. Sera zetu za uwekezaji chini ya CCM ziko unstable kiasi kwamba badala ya kuchochea na kuvutia wawekezaji kinawakimbiza na kuwaogopeshaNdio maana hicho chama hakina vision, bado wanajivunia mapinduzi ya Zanzibar mpaka leo, matokeo yake uchumi umewashinda kila kitu kimesimama na umasikini unaongezeka kila kona ya nchi, licha ya rasilimali za kila aina tulizonazo kama taifa.
Kimefanya mapinduzi gani?Kati ya vyama kongwe vinavyotunza record ni CCM jiongeze uingie maktaba zake utajua ukweli