Kwanini KINGEREZA LUGHA NGUMU KWA WASOMI TANZANIA?

Kwanini KINGEREZA LUGHA NGUMU KWA WASOMI TANZANIA?

kakamera

Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
29
Reaction score
7
Naomba Jibu wadau,Ukichunguza lugha hii kwa wasomi wengi ni ngumu katika swala la mawasiliano hasa inapokuja wakati anatakiwa kueleza jambo?na ingawa Wamefanya vizuri katika mitihqni kupitia lugha hii
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wanajifunza bila kupractise. Sasa MTU unasoma kiingereza afu mtaani full kiswahili huwezi kuwa nondo kwenye kimombo.
 
Kisa sizonje haifahamu au ugumu wake ni nn?
HONGERA kwa kuwa MAHILI katika LUGHA hii ya MALKIA .... ni imani yangu hutaendelea KUPONDA wengine zaidi bali kuwa ni MSAADA kwao pia ili wawe mahili kama wewe ...
 
Back
Top Bottom