Naomba Jibu wadau,Ukichunguza lugha hii kwa wasomi wengi ni ngumu katika swala la mawasiliano hasa inapokuja wakati anatakiwa kueleza jambo?na ingawa Wamefanya vizuri katika mitihqni kupitia lugha hii
HONGERA kwa kuwa MAHILI katika LUGHA hii ya MALKIA .... ni imani yangu hutaendelea KUPONDA wengine zaidi bali kuwa ni MSAADA kwao pia ili wawe mahili kama wewe ...