Kwanini Kingereza ni kigumu sana

Kwanini Kingereza ni kigumu sana

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Kwanini kiingereza kukielewa ni ngumu
IMG_3726.jpg
 
Mistake, erra ukiweza kuziepuka hizi kiingereza umekishinda, tatizo litabaki kwenye lafudhi ya lugha uliyozoea kuingea tangu utotoni
 
Mie kiingereza nikiongea kimoyo moyo nakionea kweli, najihisi nipo LONDON, shida nizungumze kwa nguvu, kuna vitu vinasalitiana, ubongo, ulimi, voice box na mdomo vinasalitiana
[emoji23][emoji1787]
Hahahah daah
 
Back
Top Bottom