Kwanini kipigo cha kutumia kiwiko kiliitwa 'Kupiga kipepsi'

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Zamani, kwenye michezo kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, nk; mchezaji akipigwa kwa kutumia kiwiko (elbow) tulikuwa tunasema amepigwa "kipepsi." Kwa nini tuliipa "kiwiko" jina la "kipepsi"?
Je msemo huo una uhusiano wowote na kinywaji cha pepsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…