Kwanini kiswahili hakikui

Kwanini kiswahili hakikui

Naona watu wengi walio soma sana wakidharau lugha ya kiswahili,wakisema kuwa ni lugha duni. Hivyo basi muongozo wangu ni kwamba lazima tujisifie kwanza lugha yetu sisi wenyewe na lazima tujitahidi kuzungumza kwa lugha ya kiswahili na siyo kiswa-english
 
Back
Top Bottom