Kwanini kiswahili hakikui

mabiki

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Kwanini wabongo tusiimarishe lugha yetu nayo iwe na hadhi
 
Naona watu wengi walio soma sana wakidharau lugha ya kiswahili,wakisema kuwa ni lugha duni. Hivyo basi muongozo wangu ni kwamba lazima tujisifie kwanza lugha yetu sisi wenyewe na lazima tujitahidi kuzungumza kwa lugha ya kiswahili na siyo kiswa-english
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…