Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
mbona kuna lugha ndogo kuliko kiswahili. mfano kiswedish, kidenish nkKiswahili kinatumiwa na mataifa machache sana Duniani hivyo ndio maana ni kazi kazi kukubalika.
Ila Lugha kama kingereza kipo worldwide hivyo ndio maana ni supported language
Harafu wanaangalia na mataifa mfano mataifa yanayo tumia Lugha kama hizo yapo vizuri kwenye online business ila Tanzania sisi bado sana na Kiswahili ni chetu tunamiliki.mbona kuna lugha ndogo kuliko kiswahili. mfano kiswedish, kidenish nk
Swala sio kupokea pesa Kwa paypal maana AdSense hata hawalipi Kwa paypal ama lugha kuwa inatumiwa Sana ama la.Harafu wanaangalia na mataifa mfano mataifa yanayo tumia Lugha kama hizo yapo vizuri kwenye online business ila Tanzania sisi bado sana na Kiswahili ni chetu tunamiliki.
Wewe juliulize nchi yetu hata kupokea pesa kutoka PayPal ni kisanga.