Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Bado hakijafikia hadhi ya kibali, kibali hata kama hakina picha yako kazima kielezee wewe ni nani, unatoka wapi na ni kwaajiki ya nini. Hata hapo badoHili siyo kitambulisho nadhani kiitwe kibali. Kilianzishwa mahsusi kwa ajili ya kukwapua hela za wanyonge
Lini.hii.mkuu.anzisha.Uzi kabisaNchi hii Ina maajabu yaani unanunua ndege cash halafu unashindwa kuweka picha kwenye kitambulisho,mlima Kilimanjaro unaungua moto unakodi wanafunzi wakazima sijui tumelogwa
Utapeli siku zote uko hivyo!Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote...
Kilidesigniwa na Jiwe mwenyewe ambaye, kwa bahati mbaya, hana uwezo mkubwa wa kufikiri.Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote.
Kuna maswali ya msingi ya kuhoji na kutafakari. Kwa mfano...
Matatizo yake ni makubwa sana,kama mtu anaweza kusema kua kitambulisho sio cha lazima,lakini pia leo kasema kua inafaida,!Nahisi Magufuli ana matatizo ya akili kusema kitambulisho kinaweza kutumika kuombea mikopo bank
At least you can show your stupidity at JF.Nchi hii Ina maajabu yaani unanunua ndege cash halafu unashindwa kuweka picha kwenye kitambulisho,mlima Kilimanjaro unaungua moto unakodi wanafunzi wakazima sijui tumelogwa
Ni uhuni wa watu fulani kukusanya fedha za maskini wa nchi hii.Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote....
Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote.
Kuna maswali ya msingi ya kuhoji na kutafakari. Kwa mfano;
1. Kwanini kitambulisho kiuzwe elfu 20, badala ya kutolewa bure?
(Kama kitambulisho cha mpiga kura na NIDA kinatolewa bure, kwanini cha ujasiriamali kiuzwe?)
2. Kwanini malipo ya kukinunua hayana risiti, wakati sheria za serikali zinataka malipo yote halali yaendane na kutoa risiti?
3. Kwanini kitambulisho hakina jina, picha wala anwani ya mhusika anayekimiliki?
(Nini mantiki ya kumiliki kitambulisho ambacho hakikutambulishi wewe unayekimili?)
Usidanganywe labda huko kwenu, nimeshuhudia vitambulisho vikigawiwa njiani na watendaji bila hata kutoa risitiKichwa maji kabla ya kupewa kitambulisho unapewa fomu ya kujaza na kwenye fomu kuna andikwa yote haya na picha ya muhusika
Receipt nayo inabaki kwenye fomuKichwa maji kabla ya kupewa kitambulisho unapewa fomu ya kujaza na kwenye fomu kuna andikwa yote haya na picha ya muhusika