Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
the same question.
Kwanin kuku hachunwi ngozi?
asee wanapunguza utamu.Wapo wanaochuna.
Wahindi baadhi wanaochuna ngozi kuku.
Basi na kitimoto nayo ukiamua unaweza kuichuna ngozi. Zingatia hilo neno "ukiamua".Wapo wanaomenya
hata nguruwe ngoz yake ile ni mali inamafuta na inalika piaKuku ni ndege halafu ngozi yake unaweza kutoa hata mwenyewe ukiwa unakula.