Kwanini kituo cha polisi cha Oysterbay? Natilia shaka matumizi ya kituo hicho

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Kituo cha polisi cha Oysterbay tofauti na vituo vingine mara chache sana kimekuwa kikitoa kesi za vibaka , uhalifu nk.

Lakini kila aliyetekwa na kupotezwa amepita kituoni hapo either kwa siri au kwa uwazi.
Sio story ya Sativa tu kuna story nyingine nyingi za watu kutekwa na kuonekana nje ya mji ila lazima walipita kituo cha Oysterbay kwanza.

Nataka kuamini kuwa kituo cha polisi cha Oysterbay kuna agenda nyingi za siri na kwamba hakuna polisi pale kuna majambazi waliovaa mavazi ya polisi, kiongozi wa kituo pia achungunguzwe na wananchi.
 
Reactions: I M
So, do you want to say that Oysterbay Police Station is an Abduction Center???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…