Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Alifungwa moja tu na inter
 
Kwenye FA pep katwangwa
 
Nadhan wana sababu zao ambazo kwa maono yetu tunaweza kuziona si za kutoshea kumnyima Pep, lakin wakati tunashangaa hilo pia Kdb & Foden wamepata tuzo kabla ya Salah ambaye ukitazama kwa namba zinambeba zaid Salah
 
Pongezi kwa waliompa Klop kwa sababu ni kocha bora kuliko Pep.

Yule kipara hamna kocha mle. Akipewa timu yenye budget ndogo anaishusha daraja.
 
Pongezi kwa waliompa Klop kwa sababu ni kocha bora kuliko Pep.

Yule kipara hamna kocha mle. Akipewa timu yenye budget ndogo anaishusha daraja.
Mwambie klopp aende Burnley kama yeye hahitaji pesa kutengeneza kikosi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hii ni tuzo ya PL mbona mnajaribu kutafuta maeno ya kujificha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
 

Hiv ulivyoanzisha mada ulikuwa unataka kuelewa au ulikuwa umeanzisha kwa ajili ya kubishana
 

Sioni sehemu ambayo unasema pep kampiga klopp kwenye hii tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…