Kwanini Klopp anapewa Kocha bora wa ligi ikiwa wao sio mabingwa?

Swali dogo,

1.Kwanini kdb kapewa tuzo mbele ya salah?

Ukisema kwasababu kdb kachukuwa kombe, Basi ujibu swali la pili[emoji116]

2.msimu wa 2019/2020 Liverpool alichukuwa epl lakini tuzo ya mchezaji bora akapewa kdb ambae alikuwa hana epl. Kwanini?
 
Acheni wenge Klopp kashinda tuzo ya Manager of the year in England sio kocha bora wa EPL tu. Sasa mafanikio ya Klopp na PEP kwa msimu huu nani yupo juu. Angalieni maana ya hiyo tuzo hapo
 
Unaposema hamuangalii ubora wa kocha kwa kuangalia mzunguko wa pili unamaanisha wewe na Nani? Basi mpeni Pep Kama itawapendeza
 
Liverkuku bhana yale madela yenu mloshonesha kwa ajiri ya kusherekea ubingwa wa epl sijui mmeyatupia wapi!

Mna maneno mengi kama chiriku.

Mara quadruple mara imagine being liverkuku.

Bado kesho madrid lazima akusukumie kitu kunako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujui mpira, kaa kimya unajidhalilisha. Mbona tuzo bora za kocha wa mwez huwa hapewi tu yule anayeongoza ligi? Kuchukua kombe kunapimwa kt angle nying, wachezaji, coach, gharama ya kikos, miuondombinu ya timu, financial stability ya timu n.k. ikitokea fulham anakuwa nafas ya 3 kt msimamo kocha wake anakuw considered zaid kuwa kocha bora kuliko kocha wa man u ambaye amechukua ubingwa, upo kazuramimba unawabishia wazungu waliosoma mpira kuanzia chekechea, wew huna hata kozi ya wiki moja ya mpira unapiga piga kelele hapa.
 
Naona hapa kuna tofauti kimtizamo na pia kuna mapenzi ya team

Pia ningependa kuwakumbusha kuna Tuzo ambazo hutolewa kwa kuangalia only single factor kama
1.Ufungaji bora once you score more goals than others automatically unakua unapewa tuzo ya mfungaji bora
2.Goalkeeper bora once una clean sheet nyingi unakua kipa bora haina mjadala

Ila kwenye Tuzo za kocha bora na mchezaji bora ni ngumu sana kumpata kwa kutumia kigezo kimoja
Mfano msimu huu individual salah was far best compared to debrune
1.Salah was top scorer shared golden boot with Son
2.Salah was top assist and received best play maker in Epl but Debruyne was Epl best player of the season

Ukiangalia kwa undani reasons behind ya kumpa klopp ni the way alivyo close gap from 14 up to 1 was fantastic and on top of that klopp and Guardiola are the best managers and it was 50 / 50 decisions
 
Kati ya KDB na Salah nani yupo juu kitakwimu? Nani amechukua uchezaji bora? Shida mnakuja na chuki kwa klopp mnadhan ulaya wanaangalia hivyo
 
Ingekuwa tuzo inagawiwa hivyo basi tuzo zote kuanzia kipa bora na kila kitu wangekuwa wanapewa wachezaji wa timu iliyochukua kombe, kuchukua kombe pekee yake sio kigezo cha kuwa bora, Chelsea amewahi kuchukua UEFA huku akiwa nafas ya 6 EPL, form vs class
 
Liverkuku bhana yale madela yenu mloshonesha kwa ajiri ya kusherekea ubingwa wa epl sijui mmeyatupia wapi!

Mna maneno mengi kama chiriku.

Mara quadruple mara imagine being liverkuku.

Bado kesho madrid lazima akusukumie kitu kunako.
Liverpool ndo club yenye mafanikio zaid kt msimu huu kuliko club yoyote Duniani
 
Guardiola anaonewa wivu sana uingereza anafanya Magic he has revolutionized football game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…