Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Tuliongalia game ya Leo, Simba dhidi ya Plateau ya Nigeria, tunashangaa kuona kwanini Kocha ameona kabisa watu hawa wawili, Boko na Mzamiru wamecheza fyongo lakini anakua mzito sana kufanya maamuzi ya kumtoa haswa Boko na kumuingiza Medie Kagere
Tunajua MK 14 uwezo wake mkubwa wa kuona nyavu na kufunga magoli, na pia uwezo wake mkubwa wa mechi za kimataifa, sasa kwanini inakua ngumu sana kocha kumpanga, hajaona aibu anamuingiza Kagere dakika ya 89 kweli?! Au ndio kupigana "misumari"
Boko Ni mchezaji mbovu. Mnaokaa naye mfikishieni salamu hizo, wakati mwingine aone aibu mwenyewe aombe kutoka nje sio kung'ang'ania huku akijua hafanyi lolote uwanjani.
Hili jambo kwa mechi za mbele za kimataifa litakuja kutugharimu , pale ambapo kocha unatakiwa kufanya maamuzi ya haraka na ya muhimu lakini sababu ya ulimbukeni unachelewa na kuigharimu timu na kutolewa nje ya michuano.