Sio kweli. Konyagi aipo TBL
Konyagi ipo chini ya South Africa Breweries (SAB-Miller). SAB miller pia inamiliki TBL, DarBrew (Chibuku) na cokacola kwanza, so hizo kampuni tanzu tatu za vilevi ukiacha cokacola, kwa pamoja zinaitwa TBL group. So TBL na TDL (konyagi) ni kampuni ndugu, yani zinamilikiwa na baba mmoja (SAB).Konyagi ipo chini ya TBL so ipo DSE, nunua hisa za TBL kama unaamini mauzo ya Konyagi yatakua.
wewe ni kilaza umeuliza umejibiwa bado unabishaSio kweli. Konyagi aipo TBL
Wewe tunazungumzia pombe, Wewe kama uelewi kitu bora ukae kimiya. Tunazungumzia pombe tatizo lako Wewe unakalili breweries ni kampuni zote au una stress za kufukuzwa chuo. Ingia Internet alafu fanya comparison ya konyagi na pombe nyingine sio unatoka povu kilaza wewewewe ni kilaza umeuliza umejibiwa bado unabisha
WEWE NI KILAZA HAUJUI CHOCHOTE KUHUSU KONYAGI KUWA NDANI YA TBL BORA UKAE KIMYAWewe tunazungumzia pombe, Wewe kama uelewi kitu bora ukae kimiya. Tunazungumzia pombe tatizo lako Wewe unakalili breweries ni kampuni zote au una stress za kufukuzwa chuo. Ingia Internet alafu fanya comparison ya konyagi na pombe nyingine sio unatoka povu kilaza wewe
Sio kweli. Konyagi aipo TBL
Kuna kampuni ya Konyagi ambayo inaitwa Tanzania Distillers limited
Ambayo ni tofauti na Tanzania breweries limited
Hata Serengeti breweries limited ni tofauti na Tanzania breweries limited
Sio kwamba pombe zote ni Tanzania breweries limited