Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hizo zilikiwa fix ndo mana nikipindi Cha jpm ambapo madaktari kibao wako mtaani hawana ajira wakati kipindi Cha jkhakuwa dk hata mmoja aliyeachwa
Wewe unanadhibitisha jinsi ulivyo poyoyo,na mwenye fikra zenye matege,lete mada itakayolisaidia taifa,kila siku ni awamu ya tano,Jibu Uzi wangu. Mi sijaongelea kupanda kwa gharama za vyakula kwa kuwa sababu Iko wazi kabisa i.e world kutokana na vita ya urusi na Ukraine. Nchi zote wanalia siyo Tanzania tu. Mi nimeongelea ajira we unaleta ngonjera za vyakula. Shwain
Nazumziq ajira achana na hivi vitu
[emoji16]SawaChukua Na Maji Upooze Koo Majibu Yatachelewa Kama Ya Kidato Cha IV
Hili usipoteze bundle lako sikiliza sehemu ya waziri wa fedha tu, serikali aina uwezo wa kuajiri wahitimu wote.
Na kuna graduates wa md doctors wengi tu mtaani.
Magufuri alikuwa mpumbafu kichaa mwenye nyege.Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.
Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo. Ilifikia hatua kuajiriwa inakuwa bahati sana na una yanyaswa to the maximum mana huna alternative nyingine ikafikia pahala mpaka graduate analipwa laki moja na nusu kwa mwezi. Kuna baadhi ya shule ukiajiliwa tu wakati wa kwenda kazini mlinzi ankupokonya simu mpaka saa moja usiku ndo atakurudishia wakati unaenda nybani mfano Nyahili iliyopo Arusha.
Public sector kama ajira kwa walimu na madaktari ikawa ni issue hakuna tena ajira na zikitangazwa wanaotaka watu elfu tano au kumi nchi nzima na zenyewe ikawa ni hadaa. Tulishuhidia katika ajira hizo wanajaza waliopo kwenye ajira tayari ili kutimiza idadi na wakati wapya hawazidi elfu moja.
Kwa Sasa angalau ajira zinaanza kumwagika private sector na public sector mana wawekezaji wameongezeka na shule zilizokufa au kufungiwa zinafufuka Sasa hivi. Mea si mrefu tutarudi enzi za jk ambapo kazi kama ualimu au udaktari ilikuwa hamna kuomba Bali unapangiwa mojakwamoja labda ukatae wewe tu.
Shukrani kwa mwenyezi mungu kutuona waja wake mana Hali ilikuwa mbaya sana.
Zilikuwepo sema ulikuwa huzioni tu...Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.
Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo. Ilifikia hatua kuajiriwa inakuwa bahati sana na una yanyaswa to the maximum mana huna alternative nyingine ikafikia pahala mpaka graduate analipwa laki moja na nusu kwa mwezi. Kuna baadhi ya shule ukiajiliwa tu wakati wa kwenda kazini mlinzi ankupokonya simu mpaka saa moja usiku ndo atakurudishia wakati unaenda nybani mfano Nyahili iliyopo Arusha.
Public sector kama ajira kwa walimu na madaktari ikawa ni issue hakuna tena ajira na zikitangazwa wanaotaka watu elfu tano au kumi nchi nzima na zenyewe ikawa ni hadaa. Tulishuhidia katika ajira hizo wanajaza waliopo kwenye ajira tayari ili kutimiza idadi na wakati wapya hawazidi elfu moja.
Kwa Sasa angalau ajira zinaanza kumwagika private sector na public sector mana wawekezaji wameongezeka na shule zilizokufa au kufungiwa zinafufuka Sasa hivi. Mea si mrefu tutarudi enzi za jk ambapo kazi kama ualimu au udaktari ilikuwa hamna kuomba Bali unapangiwa mojakwamoja labda ukatae wewe tu.
Shukrani kwa mwenyezi mungu kutuona waja wake mana Hali ilikuwa mbaya sana.
Kada ya afya inatoa graduates 10,000 kila mwaka on average since 2010.Hujaelewa nilichokiandika. Nimesemea mama anajaribu kurudi enzi za jk za ajira kuwa nyingi ila jpm ameshaharibu kurundika graduates kibao mtaani wakati jk alikuwa wakimaliza tu wanaenda mojakwamoja kwenye vituo vya kazi as a result graduates wakapungua mtaani wakabaki ni wale wale wa course ambazo siyo priority kama uhasibu, engineers etc. Jpm alivyokufa akaharibu utaratibu wote mzuri wa jk na tatizo likaanzia hapo. Graduates wakarundika kila mwaka hawajui pa kwenda. Mama anajitahidi ndo mana wawekeza wanaongezeka kila kukicha ku absorb hili wimbi lakini kazi Bado IPO na jpm anastahili lawama
Jpm alikuwa takataka hakustahilo kuwa hata mkuu wa wilayaZilikuwepo sema ulikuwa huzioni tu...
Viongozi wote wa chama cha mapinduzi tokea tupate uhuru wamejitahidi sana kuifanyia kazi na kusimamia miongozo na katiba ya chama inayoweka mahitaji ya mwananchi wa kawaida mbele.
Japo kila mmoja alikuwa na kipaumbele chake, na iko hivyo kwasababu hamna watu wawili wanao fanana hata mapacha.
Mama yupp lazi inaonekana kulinagana navipaumbele vyake huku akisimamia katika katiba na miongozo ya chama cha mapinduzi
Unakosea sana ndugu yng..Jpm alikuwa takataka hakustahilo kuwa hata mkuu wa wilaya
Wewe ulikuwa hapa wakati wa JK??I guess hukuwa member J.F kipindi cha J.K wakati mada za ajira zinajadiliwa hapa.
Tafuta mada za kutekwa na kunyofolewa kucha za Dr ulimboka sababu ikiwa kuhamasisha mgomo kada ya afya wakishinikiza nyongeza ya madaktari na mishahara.
Hizo video zipo you tube
Palikuwa hapatoshi humu ukimgusa J.K nikiingia between 2009 and 2015.Wewe ulikuwa hapa wakati wa JK??
Nilikuwa hapa pia..Palikuwa hapatoshi humu ukimgusa J.K nikiingia between 2009 and 2015.
Sio kwa I.D wengine tushafungia ID zaidi ya 20 humu.
Ajira gani? Isijekuwa wewe ni mtu usiejulikana 🤣🤣🤣.mimi nliajiriwa awamu ya tano
A while ago ila ajira zilikuwa zinatoka not frequently kama ilivyo kwa awamu zote na wala hakuwa na uwezo wa kuajiri wahitimu wote ata kada ya afya pekee.Nilikuwa hapa pia..
Unakumbuka mada yoyote iliyokuwa ikimsema JK kwenye kutengeneza ajira na kutoa Ajira kwa wenye sifa? Kwa ngazi zozote zile skilled na unskilled.
Ndugu yangu kajipange kawaulize viongozi wa chadema leo mkutano wao huko Temeke.
Huyo Lissu toka ametua njia nzima mpaka kwenye huo mkutano wao wananchi hawana shauku la kusikiliza hadithi zozote zingine zaidi ya gharama za maisha.
Lissu baada ya porojo zake, wanamwambia haya tumekusikia ongelea sasa na kuhusu gharama za maisha hasa bei ya chakula. Mwenyewe akajikuta analazimika kuongelea hizo Issue bila ya kujipanga.
Soon mtakapotambua Magufuli sio size yenu ndipo mtakapoelekeza maarifa yenu kupambana na changamoto za uhalisia zinazo wakabili watanzania.