Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

Habari zenu wadau wa JF.

Hii kitu nayo inasumbua sana baadhi ya watu yaani ukizoea hii kitu inakuwa ni ngumu sana kuiacha ni nn kinapelekea inakuwa hivyo. Na vp twaweza kuwasaidia kwa walioshidwa kuacha ili waache.

NB. Punyeto husababisha kushidwa kutongoza na kukosa kujiamini kwa mpenzio. Acha kabisa hiyo kitu kama unatumia ni mbaya sana kwa matokeo ya baadae.

Ni kweli, na nguvu kitandani inakuwa dhaifu
 
Vitu vya asili vigumu sana kuachika, kwa mwanaume ambaye yuko mbali na wanawake au hana mwanamke au mke ni ngumu sana, binafsi nikikosa kulala na mke wangu walau siku mbili tu kujiripua kunahusika[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom