Kwanini kuacha kupiga Nyeto ni ngumu sana.??

kuendekeza punyeto ni kubaya sana utaumbuka kwa mwanamke,nawashauri ambao hamjapatwa na haya madhara musisubiri yawapate ndo muache,acheni mara moja wenzenu tunahangaika sasa kutafuta dawa za kufanya uume usimame na uwe imara tena kwa gharama kubwa sana,plz plz plz acheni huo mchezo by mhanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…