Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.

Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?

Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
 
na hao vibaka na matapeli wa kidigitali wa chadema wanaotapeli wananchi maskini siku zao si nyingi watakamatika tu,

na suluhisho la yote hayo ni graduates wote kwenda kupata ujuzi VETA ili kujiajiri na kupata vipato halali 🐒
 
😂😂😂
 
Athari ya kushoboka na maisha ya maigizo ya mitandaoni.

Kuna mbwiga zinaamini kila kinachoona kwenye instagram za watu maarufu kuwa ndio uhalisia.
 
na hao vibaka na matapeli wa kidigitali wa chadema wanaotapeli wananchi maskini siku zao si nyingi watakamatika tu,

na suluhisho la yote hayo ni graduates wote kwenda kupata ujuzi VETA ili kujiajiri na kupata vipato halali 🐒
Kheri tumbo lililo kuzaa na matiti uliyonyonya!!!!
 
tatizo tunapenda shortcut ambayo baadaye inakuwa long cut, na mwisho wake huwa kilio...
 
Kheri tumbo lililo kuzaa na matiti uliyonyonya!!!!
na bado kidogo tu utakamatwa,

ulikua kijana makini tu huko nyuma, haijulikani nani aliekufundisha habari ya utapeli wa,

"Ile hela Tuma Kwa Namba Hii, Jina litakuja Makenzie wa Shakahola"🐒
 
Utapeli unalenga wale wenye tamaa ya kupata mali au pesa pasipo kufanya kazi.Hapo lazima watapeliwe,na sijui binadamu wa sasa tukoje yani wasomi na wasio wasomi wote ni group moja hakuna wa kucheka mwingine.Tamaa ni mbaya.Naisi iwepo sheria ili wale wanatapeliwa wachukuliwe hatuna kali ili liwe fundisho
 
Bado nchi ina wapumbavu wengi sana. Hata humu JF huwa nashangaa kuna wapumbavu huamini hii ID yangu ni ya Rais mwenyewe.
 
Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.

Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?

Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
Si tamaa wala ulimbukeni bali watanzania tuna low reasoning capacity. Haijalishi mtu kasoma au hakusoma lakini uelewa wa mambo ni wa chini.
Ama atajifanya anajua mambo ambayo hajui au atajiingiza kwenye mambo ambayo hajui na hataki kujua.
 
😂😂
 
Nadhani Tuishie Hapa
 
Back
Top Bottom