na hao vibaka na matapeli wa kidigitali wa chadema wanaotapeli wananchi maskini siku zao si nyingi watakamatika tu,Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.
Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?
Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
πππna hao vibaka na matapeli wa kidigitali wa chadema wanaotapeli wananchi maskini siku zao si nyingi watakamatika tu,
na suluhisho la yote hayo ni graduates wote kwenda kupata ujuzi VETA ili kujiajiri na kupata vipato halali π
Kheri tumbo lililo kuzaa na matiti uliyonyonya!!!!na hao vibaka na matapeli wa kidigitali wa chadema wanaotapeli wananchi maskini siku zao si nyingi watakamatika tu,
na suluhisho la yote hayo ni graduates wote kwenda kupata ujuzi VETA ili kujiajiri na kupata vipato halali π
na bado kidogo tu utakamatwa,Kheri tumbo lililo kuzaa na matiti uliyonyonya!!!!
Si tamaa wala ulimbukeni bali watanzania tuna low reasoning capacity. Haijalishi mtu kasoma au hakusoma lakini uelewa wa mambo ni wa chini.Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.
Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?
Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
ππSi tamaa wala ulimbukeni bali watanzania tuna low reasoning capacity. Haijalishi mtu kasoma au hakusoma lakini uelewa wa mambo ni wa chini.
Ama atajifanya anajua mambo ambayo hajui au atajiingiza kwenye mambo ambayo hajui na hataki kujua.
Nadhani Tuishie HapaSi tamaa wala ulimbukeni bali watanzania tuna low reasoning capacity. Haijalishi mtu kasoma au hakusoma lakini uelewa wa mambo ni wa chini.
Ama atajifanya anajua mambo ambayo hajui au atajiingiza kwenye mambo ambayo hajui na hataki kujua.