M mambucha JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 279 Reaction score 160 Jan 30, 2018 #1 Nimeshangaa kuona kumsainisha Aubameyang kwenda arsenal inachukua muda mrefu sana, wakati kesho dirisha linafungwa , tatizo ni nini?
Nimeshangaa kuona kumsainisha Aubameyang kwenda arsenal inachukua muda mrefu sana, wakati kesho dirisha linafungwa , tatizo ni nini?
T The hitman JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 3,673 Reaction score 2,288 Jan 30, 2018 #2 Hiyo kawaida ya arsenal , umesau Thomas lemar ?
M mambucha JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 279 Reaction score 160 Jan 30, 2018 Thread starter #3 The hitman said: Hiyo kawaida ya arsenal , umesau Thomas lemar ? Click to expand... Ni kawaida ya wenger kutaja majina makubwa wakati wa usajili lakini mwisho inakuwa stori tu.
The hitman said: Hiyo kawaida ya arsenal , umesau Thomas lemar ? Click to expand... Ni kawaida ya wenger kutaja majina makubwa wakati wa usajili lakini mwisho inakuwa stori tu.
M mambucha JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 279 Reaction score 160 Jan 30, 2018 Thread starter #4 Pierre-Emerick Aubameyang arrives at Arsenal for talks