Siyo tofauti ni yuleyule kama alichosema comment #3covid tafauti na iliopo duniani
Yawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid!
Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
Myth tu hizo na mizungu inatumia huo mwanya kuwachanganyaYawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid!
Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
Ulitaka zije muda gani??!kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
si ndo media zetu znavosema? hata ivo imefika hatua south africa wanauza dozi zao zote za astrazeneca kwa sababu hazitibu covid iliopo kwao
si ndo media zetu znavosema? hata ivo imefika hatua south africa wanauza dozi zao zote za astrazeneca kwa sababu hazitibu covid iliopo kwao
Siamini hata kidogo kama kuna covid tofauti na hii iliyopo, covid ni hiyo hiyo isipokuwa imekuja kwa kasi zaidi, watu wanaugua na wengine kufa.
Kabla sijajibu nilitaka clarification kwanza kwenye swali lako. Usiwe mkali mkuu kwani elimu hupatikana kwa unyenyekevu.kama huezi jibu swali kaa pembeni upishe wengine wanaotaka kujua pia