Kwanini kupiga simu ndani ya EAC kusiwe kama kupiga ndani ya nchi moja?

Kwanini kupiga simu ndani ya EAC kusiwe kama kupiga ndani ya nchi moja?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Ingekuwa sawa sana kama kupiga simu ndani ya EA kungekuwa kama unapiga ndani ya nchi.

Hakuna haja ya mtu anayepiga simu Kenya au Uganda kuonekana anapiga simu nje ya nchi au na kutozwa kwa mtindo huo.

Hii itaturahisisia sana mambo.
 
Tanzania na nduguye Burundi walikataa mpango huo.

Northern (coalition of the willing) wao wanapiga simu kama vile ni nchi moja.

Northern corridor - Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan ya Juba.

Mlolongo wa sera zetu tata za kujimwambafy zikiwamo za kina waliokwenda.
 
Kumbe! Tuko nyuma nyuma sana. Halafu sababu za msingi hakuna. Viongozi wetu wanatia aibu sana. Na jua Mama hawezi kubali ujinga huu.
 
Kumbe! Tuko nyuma nyuma sana. Halafu sababu za msingi hakuna. Viongozi wetu wanatia aibu sana. Na jua Mama hawezi kubali ujinga huu.

Awamu ile haikuwa chamtoto. Kumbuka masheikh wa uamsho wako nje, Mdude leo katoka, kesi 147 takukuru zimefutwa, faini walizotozwa chadema zina rudi, waliokuwa hawajulikani hawapo tena, watu hawapotei, hatupigi tena nyungu na mkuluro mkubwa wa mambo.

Acha mama a rebrand. Tulikuwa sote na jemedari tumegeuka watu pori.

Tumwache mwamba apumzike Chatto maana alisema bila yeye mambo hayawezi kwenda.
 
Back
Top Bottom