Kumbe! Tuko nyuma nyuma sana. Halafu sababu za msingi hakuna. Viongozi wetu wanatia aibu sana. Na jua Mama hawezi kubali ujinga huu.Tanzania na nduguye Burundi walikataa mpango huo.
Northern (coalition of the willing) wao wanapiga simu kama vile ni nchi moja.
Northern corridor - Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan ya Juba.
Mlolongo wa sera zetu tata za kujimwambafy zikiwamo za kina waliokwenda.
Nataka kumpigia simu publisher mmoja Kenya.
Kumbe! Tuko nyuma nyuma sana. Halafu sababu za msingi hakuna. Viongozi wetu wanatia aibu sana. Na jua Mama hawezi kubali ujinga huu.