kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kama uchaguzi ulikwenda sawa kasoro ni ujazaji na utumaji wa matokeo kwanini busara isingetumika kurudia upya kuzihesabu kura (ballot papers) badala ya kurudia uchaguzi mzima ambao ni ghari kwa watu, pesa, vifaa na muda.? Kwani uchaguzi ulifutwa kwa makosa yapi?