Kama uchaguzi ulikwenda sawa kasoro ni ujazaji na utumaji wa matokeo kwanini busara isingetumika kurudia upya kuzihesabu kura (ballot papers) badala ya kurudia uchaguzi mzima ambao ni ghari kwa watu, pesa, vifaa na muda.? Kwani uchaguzi ulifutwa kwa makosa yapi?
mtu anaewasifu hawa majaji hana uchungu na maisha ya WAKENYA, badala ya kutumia rasilimali kwa kutatua mahitaji ya wakenya wao wanazitumia kwa kurudia uchaguzi na kwenda kuchambia karatasi za kwanza za kura.Sheria ya Kenya inasema kuwa masanduku yote ya kura yawekwe kwa muda fulani kwa sababu ya hili. Na hili ndilo jambo ambalo limemkasirisha Uhuru sana. Tunaenda kutumia shiling 10 Billioni ilhali tungefungua tu masanduku haya tukahesabu Kura. Majaji wa Kenya wametia aibu sana kwa hili.