Kwanini kusiwe na mshindani wa ATCL?.

Kwanini kusiwe na mshindani wa ATCL?.

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Sote tunajua gharama za ATCL zilivyo ghali na hasa safafri za kutoka Mwanza kwenda Dar na Dar kuja Mwanza na hasa nyakati za asubuhi.

Binafsi naona kama wasafiri tunaonewa na inaaonyesha kama ATCL siyo Shirika letu sisi Wananchi.

Kwanini kusiwe na mshindani wa ATCL kama ilivyokuwa Fastjet enzi hizo. Ni vema sasa kuwe na mshindani wa ATCL masuala ya ukiritimba ulikwishapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom