Kwanini kuwe na kikokotoo Cha mafao ya wastaafu

Ni kutesana tu, mtu ametunza hela zake, wakati wa kuzichukua unampangia masharti

Bumbav sana hawa, islamad!
Korokorokwinyo kukubata, walioleta kikokotoo!
Rift valley![emoji35][emoji35][emoji35]
 
Wakati Chadema ikipinga huu wizi wapambe wa Magufuli walikuwa wanatutukana
Kwani vikokotoo vina wahusu Waajiriwa wa kada gani? Maana kuna ndugu yetu kastaafu kapewa mafao yake yote na kila mwisho wa mwezi ana pokea pensheni mpaka atakapo fariki.
 
Unataka wawe wanapewa pesa zao zote walizokatwa na mifuko wakiwa kazini bila uwepo wa kikokotoo?

Ni pesa mbuzi mno kikubwa kikokotoo kiboreshwe at least watu wapewe hata 75% cash halafu 25% monthly pension na wakifa iliyobaki wanapewa wategemezi.

Wastaafu wanaotoboa miaka 12 baada ya kustaafu hizi kada za chini ni wachache.
 
Kabla PSSSF Act ya 2018 haijatungwa Ukistaafu ulikuwa unapewaa 75% ya mafao... 25% unakuja kupewa kwenye monthly pension...

sababu kubwa ya kubadilika kutoka kupewa 75% na kupewa 25% ni ukosevu wa fedha uliosababishwa na uchaguzi wa 2015 ambapo CCM ilichukua mkopo kwenye mifuko ya hifadhi za jamii bila kuweka security yoyote.....

ikabidi Serikali waunganishe mifuko yote Ya jamii wakaanzisha PSSSF na pia wakachange kikokotoo kwenda kwenye 25%
 
Aliyeharibu ni JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…