Kwanini kwapa halina mchubuko licha ya kuwa na msuguano kila siku

Kwanini kwapa halina mchubuko licha ya kuwa na msuguano kila siku

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Toka tuzaliwe na tumeanza kutembea mikono yetu hutumika sana kuchukua, kunyanyua na pindi tunapotembea mikono huwa na movement flan hivi ya kwenda mbele na urudi nyuma ila cha ajabu ni kwamba kwapa ambao ni muunganiko wa mkono kwa chini haijawahi kuwa na michubuko ya vidonda baada ya msuguano kila unapotembea hata kama ni kwa muda mrefu hadi hapo alipofikia kila mtu kwa umri wake.

Ila dada zetu au wanaume huwa wachache walio wanene huwa wanalalama kuwa huchubuka kwenye mapaja baada ya kutembea kwa muda mrefu pamoja na kwamba hatuwezi fananisha huko na kwenye kwapa ila pote kuna msuguano.

Karibuni tujifunze na tujuzane kuhusu sababu za kutokuwa na vidonda kwapani pamoja na msuguan wa kila siku. atakayeweza jukibu swali hili nina vocha ya bando ya mwezi kwa ajili yake yenye thamani ya shilling elfu kumi na tazo papo hapo.
 
Back
Top Bottom