Kwanini kwenye mahusiano watu wanaishi kwa wasiwasi

stellahthatcher

Senior Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
168
Reaction score
165
Habari Wakuu,

Mtu aliyeumizwa sana katika kile kitu ambacho aliweka moyo wake wote, iwapo atakosa msaada wa karibu sana kutoka kwa watu wengine, itapelekea yeye kuathirika kisaikolojia kama tu ataendelea kuwa katika maumivu hayo na hata akianza mahusiano mapya anakuwa katika wasiwasi mkubwa sana.

voda2.png

Dalili za mtu aliyeathirika kisaikolojia ni pamoja na yeye kutowaamini wanaume wote au wanawake wote na kuwaona kuwa ni watu wabaya, kutokutaka tena kuoa au kuolewa na mtu yeyote kisa eti ameumizwa, kuamini kuwa hakuna ndoa isiyokuwa na matatizo na mateso na uchungu, kila ndoa ni mbaya tu watu wanaishi kwa ugumu, anakuwa na hali ya kuchanganyikiwa, kutokujiamini anapokuwa mbele za watu, kuona duniani si mahali salama pa kuishi ni bora afe, nk.

Haya yote yakiendelea mtu anapatwa na ugonjwa wa wasiwasi baada ya kuathirika kisaikolojia.
 
mioyo isiyojulikana ndiyo ipo.. we unajua upo naye kumbe mwenzio yupo kwingine
Wakati ukifika(ambao wapendwa wanauita wa bwana) ni kujitoa akili tu ili muendane so far sote tu waoga wadogo wadogo na maisha yanaogofya pia, sasa ukimpata muoga ambaye uoga wake ni compatible na wako basi mnaungana kiuoga uoga kisha mnaita mapenzi..Basi!
 
[emoji137] Miongoni mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Pain is pain ,, but wat next ??

Just because someone broke your heart , then someone else can not repair it !!. We shud remain strong ladies and Gents , Be patient while knowing that ,someone outside there he/she is believing in you ,trust you simply because the way you are.

Shida yawatu wengi wanapokosea ,,nipale mnapoingia ktk mahusiano nakumbukumbu zilizopita ,, unakuta mwanamke hajiamin ,,amejawa hofu ,,unakuta mwanamme akigombana na mwanamke wake utasikia anamwambia " wewe ni kama walewale tu ,,Hanna maana ""

Haya nimaneno baadhi wengi tunayatamka bila kujua nini tunakipanda myoyoni mwa wapenzi wetu ...,, matokeo yake tunaishi na wapenzi ambao akilin namyoyon wanajua kua " Ipo siku atatendwa". Sasa ktk point ya mahusiano ,,epuka sana kufikia hii hali ,,maana ,,kama ni kupigwa mizinga yahela utapigwa sanaaaaaaaa nakama kutumiwa kingono utatumika sana usishangae mpaka mtu kukuomba kinyume namaumbile ...hii nisababu nyote kwapamoja mnakua kila mtu anatafuta faida yake binafsi yaan asiwe mpotezaji.

Unapopenda ,,penda nauache moyo upende ,,nilazima tujifunze kupenda na kuifanya dunia iamin kua umependa kweli .....na km unahisi umetendwa na huna Iman ,jipe muda ,,Fanya mambo yako ,,sahihisha makosa yako ,, I hope atakuja mwanamme au mwanamke sahihu sana ktk maisha yako na utajikuta unaujutia ule muda uloutumia na kile kikaragosi chako !!!!.

This is JF.
 
Lesson learnt

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 
Back
Top Bottom